Kiosk miongozo ya masomo

Hata kama wewe si mwenye akilli maalum, unaweza kutumia maarifa kama yale ya Aristotle na Einstein ili kuongoza vizuri zaidi wakati wako ujao.

Kujitayarisha kujifunza

Jinsi Ya Kushughulika na Mkazo

Kwanza, lazima ujifunze kutambua mkazo:

Dalili za mkazo ni pamoja na ufunuo wa moyoni, urafiki, na kimwili. Haya ni pamoja na uchovu, kupotea au kuongezeka kwa hamu ya chakula, maumivu ya kichwa, kulia, kutopata usingizi(kuwa macho), na kulala uzingizi kupita kiasi. Mara nyingi kunyua pompe, kutumia madawa ya kulevya na mambo mengine kama hayo ni ishara za kuwa na mkazo. Maono ya kutia hofu, pingamizi, ama utepetevu labda zaweza kufuatana mkazo.

Ukiona kwamba mkazo unageuza hali yako ya kujifunza,
ihari ya kwanza ni kutapata ushauri kutoka mshauri wa shule lako.

Maongozi ya mkazo ni kuwa na uwezo (kuwa na akili au ustadi) wa kudumisha kuzuia wakati mambo ya hali, watu, na matukio kuwa na matakwa ya kupita kiasi. Mi nini unaweza kufanya kuzuia mkazo? Ni maarifa gani unaweza kutumia?

Angalia kama kuna jambo
unaweza kufanya ili kuzuia hali ya mambo.
Jifunze bora kabisa vile unaweza kujilegeza wewe mwenyewe
Kutafakari na kuvuta pumzi vimetibithisha kuwa njia nzuri za kuzuia mkazo. Jizoeze kuondoa mawazo yanaokusumbua akilini mwako.
Jiondoe kutoka hali ya mkazo.
Jipatie kila siku nafasi ndogo ya kupumzika kidogo.
Jiwekee vikomo vinavyofaa.
Punguza mambo/ matukio maishani mwako.
Usijitoe jasho kwa mambo madogo
Jaribu kuweka vitu muhimu katika haki ya kutangulia.
Usichiajilie kushindwa kwa kunung'unikia habari za kazi yako. Fanya kila kazi vile inavyokuja na kumbuka kushughulikia mambo ya kutangulia.
Geuza njia yako ya kushawishiwa na jambo lilitongulia,
lakini usifanye hivo sana wakati mmoja. Kaza macho yako kwa jambo sumbufu na kuliawala.
Badilisha njia zako za kufahamu mambo
Jifunze kutambua mkazo ni nini. Ongeza itikio la mwili wako na kufanya mkazo kujitawala.
Jiepusha na kushawishiwa na mambo ya kutangulia ambao ni ya kupita kadiri.
Chukia kidogo sio kuchukia saana. Mbona kufanyiza hofu ikiwa unweza kuwa katika hali ya enye woga? Mbona kuwa katika hali kuondoa furaha ikiwa enye huzuni itasaidia?
Jaribu kuzaidia wengine
ili kusaidia akili zako
Pata usingizi wa kutosha
kutopata pumziko uongeza mkazo
Ondoa mkazo kwa kufanya michezo kama
kikimbia, kucheza kandanda, au kulima shambani
Epukana na kujitibu mwenyewe
Kileo na madawa ya kulevya ufunika mkazo. Havisaidii kutatua au kuondoa matatizo.
Sitawisha ngozi nene
Kuzuia mkazo ni kujishinda wewe mwenyewe.

Jaribu "kutumia" mkazo
Kama huwezi kupigana na jambo linalo kusumbua ama huwezi kulitoroka, jaribu kulitumia kwa njia inayoweza kuleta mazao.

Jaribu na hakika
Jipatie maagizo vile unaweza kufaulu badala ya kujipatia maagizo kuhusu ubaya wa mambo. "Mkazo unweza kusaidia uwezo wa kukumbuka, iwapo mkazo ni wa mda mfupi tu na si kali. Mkazo hufanya sukari nyingi kupelekwa kwa ubongo na kuupatia ubongo nguve nyingi zinaopita kiasi. Hali hii uongeza uwezo wa kukumbuka. Kwa upande mwingine, kuwa na mkazo refu mfunjiko wa uwezo wa kukumbuka."

Muhimu kabisa, kama mkazo unakuweka katika hali ya kjiingiza katika kazi yako ya shule, urafiki au katika kazini, tafuta usaidizi kutoka mshauri wa shule yako.


Tazama pia:

Kujifunza Kupata habari | Jinsi Ya Kushughulika na Mkazo |
Kufikiria kama mwenye akili maalumu